Idris Sultan atangaza neema kwa Watanzania, aja na mpango wa kuajiri na kulipa mishahara minono By Gody Godwin at November 02, 2018 No comments Mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Idris Sultan amefikisha followers milioni 3 kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuahidi nafasi 15 za kazi kama sehemu ya kurudisha kwa jamii.
No comments:
Post a Comment